OR-TAMISEMI Strategies On Teaching Sector(Employment,Transfer,Debt)

TAMISEMI Ajira Za Walimu 2020/21 Tanzania
TAMISEMI Ajira Za Walimu 2020/21 Tanzania
TAMISEMI Is the Regional Governments and Local Authorities are a full ministry which is under the Presidency and managed by the Minister of State assisted by two deputies as managers.┬áThere is also the Secretary General who is the Chief Executive Officer of the Government’s activities.
One of the tasks of this Ministry is to coordinate all regional development plans with Local Authorities under the presidential office. The administration of this Ministry is under the Minister who is also a member of the Cabinet of Tanzania.
The Ministry is responsible for regional development in all regions and districts, especially in ensuring that the infrastructure of each area in the construction of roads and buildings continues, and at the appropriate level.
READ FULL ANNOUNCEMENT BELOW
Sharing Is Caring

52 Comments

 1. Mimi ni mwl niyepanda daraja mwaka huu ,Mara ya mwisho nilipanda 2012 nistahili kupanda 2015 na wakati huo nilistahili kupanda tena 2019.
  Je hiyo miaka yangu niliyotumika utaratibu wake uko vipi?
  Namponge naibu katibu mkuu ambaye ameaminiwa kushughulikia kero zetu sisi waalimu .
  Miley

 2. Mimi ni mwl.katika Halmashauri ya mji Kibaha nimeanza kazi mwaka 2003 na muda wote nipo kazini lakini mpaka sasa nipo daraja D.Je nifanye nini zaidi ili niwepo kwenye daraja stahiki?

  • Mm mwl ernest komba halmashauri ya madaba,nmepandshwa daraja mei 2019 lakni Hadi Leo nahangaika mshahara haujabadilika tunaomba msaada kwa HRO nmekwenda Mara nyingi majibu niendelee kuvumilia Basi hyo ndo Hali halisi

   • Mimi ni Mwl. Mhitimu 2015. Kwa Nini serikali inaupendeleo katika kutoa ajira hivi hao waalimu wa sayansi wa kila siku mbona hawafaulishi kuzidi waalimu wa sanaa tuliosuswa na serikali. Hii nchi ni ya sisi sote serikali itoe ajira bila upendeleo, serikali ya wanyonge wanyonge ndio tulio Soma ualimu Tena wa Sanaa ndo watoto wa masikini haswa haswa lakini ndio tunaambiwa tujiajiri suala ambalo ni gumu. Viongozi mshaurini Rais aache ubaguzi atukumbuke. Tunaumia Sana. Mungu ibariki Tanzania ikumbuke ahadi yako juu ya kuaminio. Amen

    • Ulisoma kwa raha masomo yako ndio maana unahangaika muda huu
     Kingine ugumu wa hisabati kama ulikushinda ulijibagua mwenyewe wala Sio Rais.
     Masomo ya sanaa hayajawahi kutoa TO (Tanzania one)
     Hivyo bado hamna uwezo.

 3. Huo mfumo mkuu Anglia usiwe na malengo ya kuendelea kumkandamiza mwl coz uhakiki umeshafanyika wa kila aina but mpaka leo hakuna matumain.Na ikumbukwe hapo nyuma analogia ili kuwa ni kikwazo na wadai wengi walisha wasilisha vielelezo mpaka original (nakala halisi) kama hitaji la ukaguzi na haijulikan kama bado nakala hizo bado zinapatikana kwenye registry zetu za analogia.Je hamtaamua kuendelea kumkandamiza MWL kwa kigezo cha uhakiki wa kimfumo huku mkihitaji viambatanisho ambavyo kimsingi walimu wengi watakuwa hawana kwa wakati huo na hivo kupoteza sifa ya kulipwa? Hayo tumeyashuhudia sana kwenye madaraja mwl anapanda taraja bila ya kurekebishiwa mshahara baada ya mwaka mmoja anambiwa rudisha barua na upewe mapya na kujikuta haki yake ya awali bila hata sababu ya kueleweka kiutumishi.Tafadhali mhurumieni mwl jaman na ni mtumishi kama wengine.

  • Nami napongeza kwa angalau kusikia kuwa kuna hatua japo kidogo zinataka kuchukuliwa kuhusu kero zetu sisi walimu. Kuhusu madeni binafsi nilitegemea Afisa mteule ungekwenda mbele zaidi kwa kutuonesha hatua ambayo madeni yetu ya siku nyingi yaliyohakikiwa kwa ukamilifu ilipofikia. Baada ya hapo ndo uje na madeni yanayoendelea kuzaliwa.
   Sasa mukianza na kauli za UHAKIKI kwa uhakiki uliokamilika miaka kadhaa iliyopita ambapo barua za madai na viambata vyote vilikabidhiwa kwa wahusika unatupa MASHAKA MAKUBWA!

 4. Ubarikiwe kwa ubunifu,mfumo mzuri utarahisisha utendaji na kuleta ufanisi ,ila hapo kwenye uhamisho bado sijapaelewa vyema,kama mwl anataka kuhama kwa kumfuata mume wake na sehemu alipo mume wake nafasi hakuna,uwezekano wa kuhama hauta kuwepo? Ndoa zetu zitakuwa hatarini!
  Ushauri
  Huo mfumo uandaliwe kwa namna ambayo utamnufaisha mwl na kumfanya apate stahiki zake ili aweze kutimiza wajibu wake vyema.

 5. Mm sijapanda daraja kabisa nmeanza Kaz 2014 utaratbu upoje ? Kwan wajibu wangu nautimiza lkn gharama za maisha zinapanda kuliko maslahi

 6. Simu zote mwalimu hasikilizwi laiti wizara ingemuelewa huyu mwalimu kama chombo muhimu angemsikiliza angalia mwalimu anaomba kuhama aende pale anapoona anaweza kufanya kazi kwa Amani unamkatalia hata hawezi kuamua vinginevyo atabaki anafanya kazi kimwili akili zipo pale atamanipo awe hebu kama serikali kweli inatatua itazame pia hili

  • Nimeanza kazi ya ualimu sekondari ktka halmashauriya Mbozi Tar. 01/04/2014 lakini had I sasa sijapanda daraja. Kila ninapofuatilia naambiwa subiri muda Wa kupanda utafika. Kiukweli naumia sana ninapoona wenzetu Wa halmashauri nyingine wamepanda. Labda haya mabadiliko yanaweza kuwa suruhisho kwangu.

 7. Naitwa mwl Dorica Njile Ngunila nimeanza kazi Mwaka 2013 had leo sijapanda daraja kila mwezi naahidiwa tu mara naambiwa barua ilipotea saizi imepatikana mnanisaidiaje maana naumia wenzangu washapanda daraja Siku nyingi nisaidieni

 8. Nashukuru kwa mfumo mzuri mnaowaza kuuanzisha, ombi langu ifanyike mapema iwezekanavyo , lakin pia kuhusu kuhama ndilo Jambo linaloumiza vichwa vya walimu wengi zaidi, maana inaonesha ukiritimba umeshamiri Sana kwa watu wanaojuana na wakubwa wa nyadhifa mbalimbali, tusaidieni wanyonge tafadhali.

 9. Asante sana lakin itambulike kuwa Ualimu ni kazi kama kazi nyingine hivyo gharama ya maisha zinavyopanda hata upande wa pili katka MASLAHI nako pia mtujali mbali na hapo walimu tutafanya kazi kama kutimiza ratiba tuuu na sio kutoa taaluma ipasavyo…..Uhamisho kila mmoja aende anapohitaj kuondoa msongo wa mawazo kwa walimu

 10. Hivi kila siku nasikia mwl anahama Kumfuata mume wake.
  Kwani Kumfuata mke hairuhusiwi?
  Mwalimu akiwa huru atafanya kazi na kuleta maendeleo Makubwa Sana nchi Hii.

  Turuhusuni Hata wanaume tuwafuate wake zetu!!! Jamani

 11. Binafsi niko against na mwalimu kuomba ajira moja kwa moja kwenye halmashauri au shule husika kwa sababu zifuatazo.
  1. Itasababisha rushwa ambayo haijawahi tokea duniani.
  2. Kuhama ni jambo la msingi sana katika kuongeza ufanisi wa kazi, hivyo kuomba katika shule husika moja kwa moja kutasababisha mwalimu akae kituo kimoja maisha yake yote ni kwa sababu tu aliomba mwenyewe pale.

  Naishauri serikali iwe na tabia ya kuwahamisha walimu, walimu wako tayari kutumia mishahara yao hivyo ni jukumu la serikali kuwa inahakikisha kuhama kule kuzingatie ikama ya walimu wa masomo husika, ambayo inaweza kulinganishwa na ajira mpya kwamba kama mtu amekaa kituo kimoja takribani miaka mitano anaweza kuomba kuhama ikiwa ni equivalent na ajira mpya katika shule au halmashauri anakotaka kwenda huku akiendelea na maslahi yake.

 12. Mkuu mm nakupongeza kwa hatua hii uliyofikia.
  Tunaomba Fanya hima kuharakisha mfumo uanze kufanya Nazi mapema utuokoe waalimu ambao tupo mtaani maana tunaweza hata kusahaa tulichosomea hasa mafomula ya hisabati.
  Mambo mengine yatajiseti kadri muda unavyoenda.

 13. Napenda kuipongeza serikali ya tano kwa kutambua umuhimu wa elimu kwani juhudi zote zinazofanyika ni lengo la maendeleo ya nchi yetu…….

 14. Tunahitaji utekelezaji maana maneno yenyewe hayatakuwa na tija kwetu sisi ambaoo tunahangaika na halihalisi za maisha bila ajira.
  Tutashukuru sanasana endapo your pans will work and be alive.

  Sisi sote niwajenzi huru wa taifa Tanzania

 15. Tatizo lingine katika halmashauri zetu mwalimu akihama kwenda sehemu nyingine kupanda daraja ni ngumu mno na ni haki ya mwl, ubabaishaji unakuwa mwingi tamisemi mtusaidie ….muwe mnapita na kuuona uhalisia wa kazi za walimu,jitihada na changamoto zinazowakabili walimu.

 16. Tatizo kubwa uhamisho, turusiwe kuhamia kwanza, madeni yafuatie, tunaukia kifikra tukiwa mbali na wapendwa wetu, serikali yetu tunaimani nayo itashughulikia barua za uhamisho zilizopo TAMISEMI tangu mwaka jana.

 17. Mi ni mwl kutoka monduli naipongeza serikali kwa kuja na mpango kabambe utakaotusaidia katika nyanja zote zilizotajwa maana hiyo ni moja ya awamu ya tano kuhakikisha kila mtu anafurahia utumishi wake asanteni sanaaa

 18. Nashukru.kwanza kwa kutambua kuwa kuna kero ya madaraja na madai ya mishahara.Ushauri maafisa utumishi watumie barua kutoa taarifa kwa mtumishi anayedai make linakuwa suala la kuombwa taarifa hizo miaka nenda rudi mfano nimehakikiwa madai 2013,2015,2017 na 2019 na idara ya utumishi hiyohiyo.Pili nashukru kwa kukusudia kulipa madai .wako katika utumishi wa umma.t.marwa

 19. Mimi nimeanza kazi mwaka 2004 mwalimu sekondari,lakini hadi sasa nipo daraja E,ni lini nitapata haki sawa na walimu wenzangu ambao tumeajiliwa mwaka mmoja ambao wengi wao wapo daraja F hadi G,naomba kusaidiwa nami niwe sawa na wengine.

 20. Vipi kuhusu uhamisho wa wake zetu maana mke kila akiandika barua anajibiwa uhamisho umefungwa wakati Luna watumishi wengine wanahamia kwa wenza wao
  Huu ni mwaka wa NNE tangu mke aajiliwe simiyu

 21. Naitwa Mwalimu Leonard Lunguya kutoka Halmashauri ya Kilombero.Binafsi nikupongeze Naibu waziri kwa shakira yako ya kuja na mwalobaini wa kero na madai ya walimu Nchini,Mimi mwenyewe ni mhanga wa nimeanza kazi 2005 bado nipo daraja D ambalo nimepata 2015 na malimbikizo hadi Leo hii sijapata kila nikifuatilia naambiwa madai hapo Tamisemi.Tunasubiri utekelezaji wa hayo mazuri unayotarajia kuyafanya Kiongozi wetu,MUNGU akujalie uyatimize

 22. Pongezi kwa Selikari.Inauma sana kuna watumishi wa uma tangu 2012 hawajawai kupandishwa daraja mbali na kuwa gharama za maisha zimepanda huo mshahara Mdogo wanaoupata in a bid I atumie sehem take katika matumizi ya ofisi.Kwa mfano Afisa Kilimo anapaswa kununua mafuta Ili aweze kuwatembelea wakulima wake,lakini pia inabidi afanye ukarabati.Hugo mtuu awezi kufanya Nazi kwa Moyo.Jitahidi kulekebisha Idara zote.

 23. Pia naomba mliangalie hili. Kitendo cha mwalimu kukaa zaidi ya miaka 15 kituo kimoja siyo vizuri matokeo yake watu watafanya kazi kwa mazoea. Tubadilishwe vituo ili tujifunze Mazingira mbalimbali.

 24. Tunaomba utaratibu wa kuwaajiri wakuu wa shule hasa secondary na primary ushughulikiwe Mana wananyanyasa walimu wa chini kisa wanaajiriwa na afisa elimu unakuta mkuu kukusainia tu barua uende halmashauri kufatilia mambo yako inachukua mwezi ikibidi mfumo wa kuwaajiri utoke Tamisemi moja kwa moja cio halmashauri

 25. Naibu katibu mkuu kwanza sisi tulokuwa ktk sekta hii ambayo tuliona Kama inadharauliwa tunasikia furaha kama mipango hiyo haitaishia kwenye makaratasi tu,pia msiwajali wanafunzi pekee na walimu muwaboreshee makazi Mana NI changamoto inayofanya baadhi ya maeneo kuwa na walimu wachache . Nikutakie utekelezaji mwema

 26. Samahani napenda kuuliza kwamba Mimi ni Mwalimu nna bachelor degree na nnajitolea shule ya msingi ikitokea ajira zimetoka shule ya msingi na tunatakiwa kuomba ngazi ya wilaya je nitaomba kama Mwalimu wa shule ya msingi ilhali nna shahada ya ualimu naomba msaada juu ya hilo. au lazima mwenye shahada aende sekondari tu kwa sababu hapa walimu ni pungufu na Mimi najitolea kusaidia kama Mwalimu bila kujali elimu

 27. Nazan serikal inapaswa kuja na majibu kwa hawa walim wa sanaa inawapeleka wapi? Kwann isiwaajili kufundisha shule za msingi? Au kuwataftia mbadala tofaut na kuwaacha mtaani wakinyanyasika.

 28. Tangu 2012 nadai malimbikizo ya mshahara mpaka leo kimya na sijui kinacho endelea. Tunakatishana tamaa ya kufanya kazi.

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*