NEC Announce 300,000 Temporary Jobs 2020 General Election

NEC Announce 300,000 Temporary Jobs 2020 General Election
NEC Announce 300,000 Temporary Jobs 2020 General Election

NEC Announce 300,000 Temporary Jobs 2020 General Election NEC Announce 300,000 Temporary Jobs 2020 General Election The Background on the National Electoral Commission of Tanzania. In 1991 the then President of the United Republic of Tanzania, His Excellency Ali Hassan Mwinyi appointed a commission under the Chairmanship of the late Chief Justice of Tanzania, the Honourable Francis L. Nyalali. The task of that Commission was to collect public opinion as to whether or not to continue with the one – party system.

NEC Announce 300,000 Temporary Jobs 2020 General Election

Following the recommendations by the Nyalali Commission, Article 3 of the Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977 was amended to make Tanzania a multi – party state.

The Political Parties Act, (No. 5 of 1992) was enacted to provide for the registration of Political Parties. The Elections Act, (No.1 of 1985), the Local Authorities (Elections) Act, (No. 4 of 1979) and related legislations were also substantially amended to get rid of the one – party system and to put in place appropriate procedures for the conduct of Elections under the multi – party system.

Article 74(6) of the constitution states its responsibilities:

 • Register voters for the union presidential and parliamentary elections.
 • Supervise the conduct of the presidential and parliamentary elections
 • Review and demarcate the electoral boundaries
 • Perform any other function as per the law such as organize referendums.

The National Electoral Commission of Tanzania has announced new 300,000 Vacancies for general election 2020 for more information get copy of NIPASHE Newspaper as shown below:-

Sharing Is Caring

47 Comments

 1. Nomba ajira serikalini nimehitimu chuo tabitu msaidizi niko na uzoefu wa kutosha na nachapa kazi vizuri

 2. Natafuta kazi nimehitimu chuo fani ya rasili Mali watu katika chuo cha mzumbe mbeya campus call me from 0755150667

 3. Natafuta ajira nina certificate ya business administration na nina fani ya kutumia computer
  Call me 0744777010
  0652805319

 4. Serikali Tafadhari,,,Mimi nmehitimu fani uhudumu wa Afya ya jamii (community health). Ninaomba nafas ya medical Attendant. Ntashukuru endapo Ombi langu litakubaliwa

 5. Hapa Kuna vijana wengi wamemaliza vyuo vikuu, serikali igewatumia igekuwa vizuri jamani by damiano kutoka manyara Tanzania binafsi nipo tayari.

 6. Nimehitimu fani ya uhudumu Wa Afya ya jamii (community health) katika chuo cha Afya na sayansi shirikishi “Decca” mwaka 2019. Ninaomba nafasi ya medical attendant, maana Nina uzoefu Wa kufanya kazi hiyo kutokana na mazoezi nliyokwisha kufanya,,,field works,

 7. Naomba kazi serikalin,nimehitimu fani ya maendeleo ya Jamii ngazi ya diploma katika chuo cha maendeleo ya jamii Buhare musoma napatikana kwa namba hizi 0757333093 au 0783829978

 8. Ofike kipindi muutumie vzr usom wenu kwahyo nyie mnaaoomba ajira kwa Platform hii mwazn ni ukurasa wa NEC au? Huu n ukurasa wa global acha Utahira……

 9. Natafuta kazi ya ukatibu mahususi(secretary)nimehitimu chuo cha utumishi wa umma TPSC Tawi la Tabora.Call me 0714082529

 10. Natafuta kazi ya kufundisha ni mwalimu wa somo la Literature mzoefu nimesoma chuo kikuu cha dar es salaam. (UDSM)
  0743892521

 11. Natafuta kazi nimehitimu chuo fani ya maendeleo katika chuo cha Dar es salaam university
  Mawasiliano 0763844673

 12. Natafta Ajira ninmehitimu chuo Cha utumishi wa umma fan ya usimamiz wa ofisi na utawala
  Namba yangu ni0788890528

 13. Natafuta kazi nimehitimu chuo cha maendeleo ya jamii Tengeru Arusha, Nipo Manyara namba ya simu 0767088914

 14. I’m interested. Nimemaliza certificate in Accounting nipo vizur ktk utumiaji wa computer namben kaz please. Namba zangu 0772821186 au 0710035337

 15. MIMI NI MWANACHUO KUTOKA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI NINAOMBA NAFASI YA KUJITOLEA KWENYE TAASISI AU KAMPUNI YOYOTE ILI NIONGEZE EXPERIENCE KATIKA UTENDAJI KAZI WANGU. NIPO MWAKA WA TATU.

 16. NATAFUTA NAFASI YA KAZI YA KUJITOLEA KWENYE TAASISI AU KAMPUNI YOYOTE ILI NIONGEZE EXPERIENCE KATIKA UTENDAJI KAZI WANGU.NIPO MWAKA WA MWISHO KATIKA CHUO CHA TAIFA CUA USAFIRISHAJI, NINASOMA BACHELOR IN LOGISTICS AND TRANSPORT MANAGEMENT.NAMBA YANGU NI 0742086926

 17. I am interested,Diploma in early childhood nipo vizuri katika utumiaji wa computer na nina certificate in secretarial course

 18. Mimi nimehitimu chuo Cha utumishi wa umma _dare salaam ngazi ya diploma ya utunzaji wa kumbukumbu naomba ajira serikalini Nina uzoefu
  Call namba 0742578455

 19. Naomba nafasi ya kujitolea kwenye taasisi yeyote yenye idara ya utunzaji wa kumbukumbu .ili kuongeza uzoefu zaidi
  Naomba kupigiwa namba
  0742578455

 20. Naomba nafasi ya kazi ya utunzaji wa kumbukumbu nimehitimu katika chuo Cha utumishi wa umma _dareslaam ngazi ya diploma
  Nina uzoefu mzuri
  Namba yangu ya simu 0742578455

 21. Mimi nimehitimu chuo Cha utumishi wa umma _dare salaam ngazi ya diploma ya utunzaji wa kumbukumbu naomba ajira se Nina uzoefu
  Call namba 0742578455

 22. I’m a graduate of college of agriculture taking general agriculture course if am suitable for the opportunity please contact me 0718697470 thanks

 23. Mimi claudia nimehitimu diploma katika chuo cha maendeleo ya jamii Buhare iliyoko musoma mkoan mara pia ninauzoefu na compyuta naptatikana kwa no hii 0757333093 au 0783829978

 24. Naomba nafasi ya kazi serikalini au kwenye shirika nimemaliza chuo cha maendeleo ya jamii Musoma kwa ngazi ya Diploma
  Namba zangu 0753887275

 25. NInaitwa Wahilina Kejo ningependa kusimamia tena hii kazi ya uchaguzi mkuu kwani nina uzoefu na uchaguzi uliopita na nlikua mkuu wa kituo cha uchaguzi, ni memaliza degree ya meaendeleo ya jamii chuo cha Tengeru ningependa pia kupata ajira kwani kuhudumia jamii na kua sehemu ya kutatua matatizo nikitu ambacho nakipenda sana. Natumai maombi yangu yatapokelewa.

 26. Naitwa CHRISTINA nimwanafunzi wa uhasibu mkoa wa mbeya Tanzania Institute Of Accountancy (T.I.A) kwangazi ya diproma naninauzoefu wa computer kwa kila programe

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*